BREAKING NEWS

Wednesday, 3 February 2016

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOPAMBANA NA PRISONS NA KUAMBULIA SARE YA 2-2




 
Baada ya kupoteza ugenini dhidi ya Coastal Union, Yanga imeambulia sare ya 2-2 dhidi ya Prisons, ikiwa ugenini tena dhidi ya Prisons.

Mechi hiyo ilichezwa kwenye uwanja wenye tope baada ya mvua kunyesha mjini Mbeya kwa siku mbili mfululizo.

Yanga ndiyo waliolazimika kufanya kazi ya kusawazisha, mechi haikuwa laini hata kidogo.

 

 

 
 
 

 

 

 

 

Share this:

 
Back To Top
Distributed By Rodrick Minja | Designed By Bill De Pierree