Shabiki wa Yanga ameanguka na kuzimia baada ya Prisons kupata bao la pili kupitia Mohammed Mkopi katika dakika ya 62.
Prisons ilipata bao la pili wakati Yanga ikiwa imeanza kufunga, yenyewe ikasawazisha na kufunga la pili.
Bao hilo, lilimuangusha shabiki huyo anayeelezwa kusafiiri kuipa nguvu Yanga mkoani Mbeya.
Watu
wa husuma ya kwanza walimuwahi na kuanza kumpa huduma hivyo, mwisho
Yanga ilisawazisha kwa mkwaju wa penalti kupitia Simon Msuva.
Haijajulikana kama shabiki huyo alifanikiwa kuliona bao la pili.
Post a Comment