HIVI NDIVYO VARDY ALIVYOACHIA KOMBORA KUIMALIZA LIVERPOOL
Posted by
Unknown
on
23:37:00
in
|
Comments :
0
JAMIE
VARDY NI HATARI AISEE, AMEPIGA MABAO YOTE MAWILI WAKATI LEICESTER CITY
IKIILAZA LIVERPOOL KWA MABAO 2-0. NJE YA YADI 30, HALAFU AKAACHIA
KOMBORA LENYE KASI YA MAILI 56 KWA SAA, SI MCHEZO.
Post a Comment