Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
Katika
hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu
wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani
Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati anawaibia wananchi hakuwa na huruma
Post a Comment