Mwenyekiti Wa Chadema Mkoa Wa Iringa Afariki Kwa Ajali .
Posted by
Unknown
on
07:38:00
in
|
Mwenyekiti
wa Chadema Mkoa wa Iringa Vijijini Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali
jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya
matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi wakati madaktari
wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!
Post a Comment