BREAKING NEWS

Monday, 11 April 2016

Maskini Dogo Mfaume --- Madawa ya Kulevya Yampoteza katika fani ya muziki

Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa ngada.
Mlaaniwe wote mnaouza unga kuanzia nyie wenyewe na vizazi vyenu vyote.
..."kazi yangu ya dukanii aaahahh yaniweka matataniii wanao nirudisha nyuma wengi wao majiraniii"

Share this:

 
Back To Top
Distributed By Rodrick Minja | Designed By Bill De Pierree