Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amethibitisha kustaafu masumbwi
baada ya kumdunda Timothy Bradley kwenye pambano lao la Jumamosi hii.
Pacquiao alishinda kwa pointi licha ya kumwangusha Bladley mara mbili.
Hilo limekuwa pambano lake la kwanza baada ya kushindwa na Floyd Mayweather Jnr May mwaka jana.
“As of now I am retired,’ alisema Pacquiao. “I am going to go home and
think about it but I want to be with my family. I want to serve the
people.”
Pacquiao anastaafu akiwa ameingiza dola milioni 500 kutokana na ndondi
pamoja na endorsements katika kipindi cha miongoni miwili ya career
yake.
Post a Comment