Balozi
Seif Ali Iddi akielekea sehemu ya kula kiapo kuwa Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar alipoapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo
Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi baada ya kumuapisha rasmi leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja.
Post a Comment