Klabu ya Soka ya Simba nchini
Tanzania iko katika mazungumzo yanayoendelea vema ili iweze kupata mgao
wake baada ya aliyekuwa mchezaji wake Mbwana Ally Samatta kuuzwa huko
Ubeligiji.
Simba ambayo ilimuuza Samatta klabu ya TP Mazembe mwaka
2012, inapaswa kupata asilimia 20 ya fedha ambazo TP Mazembe imelipwa
baada ya kumuuza Samatta kwenye klabu hiyo ya Ubelgiji.TP Mazembe ilimuuza Mtanzania huyo kwa Samatta KRC dola za Kimarekani 800,000
Post a Comment