BREAKING NEWS

Wednesday, 27 January 2016

WADAU WA ELIMU WAJADILI VIPAUMBE VYA ELIMU BAADA YA MIAKA MITANO


Mkurugenzi wa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, Salum Mnjagila akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vipaumbele vya elimu kwa miaka mitano ijayo hapa nchini.
Amesema kuwa mfumo wa usio rasmi ijadiliwe katika mitaala mbalimbali ya kufundishia pamoja na tathmini ya hali ya mitihani na ufaulu wa wanafunzi.
 
Mwakilishi wa UNESCO, Zumira Lodriguz akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakijadili masuala ya elimu baada ya miaka 5 ijayo jinsi itakavyo kuwa
 
Baadhi ya wadau wa elimu na wawakilishi wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu, sayansi na utamaduni wakijadiliana mambo mbalimbali ya elimu hapa nchini baada ya miaka mitano.

Share this:

 
Back To Top
Distributed By Rodrick Minja | Designed By Bill De Pierree