BREAKING NEWS

Tuesday, 26 January 2016

Tanzania: bidhaa za thamani ya zaidi milioni 20 kuharibiwa baada ya kugunduliwa hazifai

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) siku ya Ijumaa iliharibiwa bidhaa zenye thamani ya zaidi ya Milioni 20, baada ya kugundulika hazifai kwa matumizi ya binadamu.
Kulingana na ofisa wa habari katika shirika la viwango tanzania, Bi Rhoida Andusamile anasema nepi za watoto zijulikanazo kama Smart Baby ni miongoni mwa bidhaa zilizoharibiwa.
Andusamile anasema waliamua kuharibu bidhaa hizo na kuziondoa bidhaa kutoka kwa soko baada ya sampuli zilizochukuliwa kuonekana ni hatari kwa maisha ya binadamu.

Share this:

 
Back To Top
Distributed By Rodrick Minja | Designed By Bill De Pierree