Lionel
Messi amemuwahi Cristiano Ronaldo na kupiga bao la 1000 wakati
Barcelona ikiitwanga Atletico Madrid kwa mabao 2-1 na kujichimbia zaidi
kileleni.
Bao
hilo la 1000 lilikuwa likitafutwa kwa kujumlisha mabao yao tote
waliyofunga ambayo idadi take ni 999 baada ya kwa wote jumla kuwa
wamecheza mechi 1,384.
Messi
amefunga mabao 481 katika jumla ya mechi 611, kati ya hizo 432
akiichezea Barcelona na 49 akiitumikia timu ya taifa ya Argentina
ambayo yeye ni nahodha kwa sasa.
Ronaldo
amepachika mabao 518, alianza kufunga mabao 5 akiwa Sporting Lisbon
iliyomlea kisoka kabla ya kujiunga na Man United aliyoifungia mabao 118,
akaongeza mengine 340 akiichezea Real Madrid mechi 327. Pia ana mabao
mengine 55, aliyoifungia timu yake ya taifa ya Ureno ambayo pia ni
nahodha.
Messi amefunga bao hilo moja, Suarez akafunga moja, Barcelona ikashinda 2-1.
Barcelona
(4-3-3): Bravo 6; Alves 7, Pique 7, Mascherano 7, Alba 7; Rakitic 6,
Busquets 6, Iniesta 6; Messi 7, Suarez 8, Neymar 6.
Subs not used: Ter Stegen, Munir, Vidal, Vermaelen, Mathieu.
Goal: Messi 30, Suarez 38
Atletico
Madrid (4-4-1-1): Oblak 7; Juanfran 7, Godin 5, Jimenez 6, Felipe Luis
5; Saul 7, Gabi 6 (Gamez 45) 6, Augusto 6 Fernandez, Koke 6; Carrasco 7,
Griezmann 7.
Subs not used: Moya, Oliver, Martinez, Vietto.
Goal: Koke 10
Booked: Juanfran, Gabi, Partey
Red cards: Luis, Godin
Referee: Alberto Undiano Mallenco
Attendance: 94,990
Post a Comment