Saturday, 30 January 2016
MAJALIWA AONGOZA MBIO ZA HAPA KAZI TU DODOMA HALF MARATHON
Posted by Unknown on 19:32:00 in | Comments : 0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson. Mwansasu.
Mmoja wa wapigapicha walioshiriki mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon alilazimika kuomba msaada kwa askari wa usalama barabarani Mjini Dodoma Januari 30, 2016..
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mmbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment