Saturday, 30 January 2016
Halafu Tunashangaa Kipindupindu Kupiga Kambi Dodoma..!
Posted by Unknown on 19:38:00 in | Comments : 0
Nimetembea leo kitongoji cha Chadulu.
Mazingira yanaogopesha. Uchafu kila mahali hata sehemu wenyeji
wanapopata huduma za vyakula. Watu wa Chadulu wanahitaji elimu zaidi
kuhusu hatari ya kuishi kwenye mazingira kama haya.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment