Wednesday, 27 January 2016
Baada ya kutemwa na kocha wa Spurs hii ndio klabu aliyojiunga nayo Emmanuel Adebayor
Posted by Unknown on 09:54:00 in | Comments : 0
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo aliyewahi kuvichezea vilabu vya Arsenal, Man City na baadae Tottenham Hotspurs Emmanuel Adebayor alikuwa hana timu kwa miezi kadhaa sasa, baada ya kocha wa klabu yake ya Tottenham Hotspurs Mauricio Pochettino kumuondoa katika mipango na kikosi chake kitakachoshiriki mashindano tofauti, licha ya kuwa alikuwa analipwa kama kawaida.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment