Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu amefanya ziara ya
kutembelea vijiji vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa
usiojulikana katika kijiji cha mwaisabe,Wilayani
Kondoa.
Katika ziara hilyo ameambatana
na wataalam mbalimbali ambao wameweka kambi kwenye vijiji hivyo ili
kufuatilia wagonjwa majumbani.vile vile ametembelea wagonjwa
waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya kondoa.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Mhe.Ummy
Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya
Kondoa.Mhe.Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji
vilivyokumbwa na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kijiji
cha mwaisabe,Wilayani Kondoa.
Post a Comment