Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (katikati)
akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sekta ya Ujenzi Eng.
Joseph Nyamhanga (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini
(TANROADS), Eng. Patrick Mfugale wakati akikagua Daraja la Rusumo
wilayani Ngara.
Muonekano wa barabara ya Nyakahura-Rusumo inayounganisha Tanzania na Rwanda kupitia Daraja la Rusumo wilayani Ngara.
Mtaalam
kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wa pili kulia akitoa maelezo
kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (wa
tatu kulia), alipotembelea ofisi hizo katika Kituo cha pamoja cha
forodha (One Stop Border Post) upande wa Tanzania kilichopo Rusumo
wilayani Ngara, wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sekta ya
Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga.
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akitoa ufafanuzi
kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick
Mfugale (mwenye kofia) wakati akikagua maandalizi ya ufunguzi wa Daraja
la Rusumo na Vituo vya pamoja vya forodha (One Stop Border Post)
wilayani Ngara.
Muonekano
wa Daraja la Rusumo linalounganisha Tanzania na Rwanda, kushoto ni
daraja la zamani lenye rangi ya njano na kulia ni daraja jipya.
Meneja wa
Kituo cha pamoja cha forodha(One Stop Border Post), katika mpaka wa
Tanzania na Rwanda upande wa Rwanda Bw. Moses Kalisa akitoa maelezo kwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na ujumbe
wake walipotembelea kituo hicho.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, W
Post a Comment