Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji, jana alitambulishwa rrasmi kwa wakazi wa Mwanza kwenye uwanja wa furahisha.
Viongozi
mbalimbali wa kitaifa wa Chadema pamoja na baadhi ya Wabunge kutoka
Chadema walikuwepo kuushuhudia utambulisho huo wa Katibu Mkuu wao kwa
wananchi.
Post a Comment