Dar
es Salaam, Tanzania – February 4th, 2016 - Tanzania's Best
Vocalists of all time Ben Pol & Peter Msechu have teamed up to release an
amazing mash-up collaboration ‘NYOTA YA
SAMBOIRA’ as a pre-Valentine's gift to their loyal fans.
‘NYOTA
YA SAMBOIRA’ is the combination of two hit songs,
Peter Msechu’s ‘NYOTA’ and Ben
Pol’s ‘SAMBOIRA’ which made a mark on
the local and international music scene.
Ahead of the release of ‘NYOTA YA SAMBOIRA’, Ben says, “On this Valentine season, Msechu
and I have decided to bring our fans together as the sign of love, by merging
our songs to become one ‘NYOTA YA
SAMBOIRA’. We believe through this gift everyone out there will continue to
spread love to their loved ones.”
REASONS
FOR RECORDING THIS MASH-UP:
One of the reasons of the existence of this mash-up
is that Ben Pol and Peter Msechu are both friends and fans of each other. That’s why in ‘NYOTA YA SAMBOIRA’, Ben Pol
has Sung Msechu’s verse and Msechu has sung Ben’s verse of their original
songs.
HOW
THIS MASH-UP CAME INTO EXISTENCE:
It all started like a joke.
Ben and Peter bumped into each other at Downvillah
Records studio where both had their solo studio session, but as you know once artistes
meet in studio there is always a possibility of ending up doing something. So
they decided to work on this mash-up collaboration produced by Teaz Villah.
ABOUT
‘NYOTA’ AND ‘SAMBOIRA’ ORIGINAL SONGS:
‘SAMBOIRA’ is one of Ben Pol’s hit singles that was
released in 2011 from his first album ‘MABOMA’.
‘NYOTA’ is Peter Msechu’s most successful hit
single released in 2014.
KISWAHILI:
BEN
POL NA PETER MSECHU WATOA ZAWADI HII YA VALENTINE KWA MASHABIKI WAO - ‘NYOTA YA
SAMBOIRA’
Dar es Salaam, Tanzania – February 4th, 2016: Waimbaji mahiri wa muziki kutoka
Tanzania, Ben Pol na Peter Msechu wameachia ‘mash-up collaboration’ ya hatari, ‘NYOTA
YA SAMBOIRA’ kama zawadi ya msimu huu wa Valentine kwa mashabiki wao wa
dhati.
‘NYOTA
YA SAMBOIRA’ ni muungano wa nyimbo mbili, ‘NYOTA’ ya
Peter Msechu pamoja na ‘SAMBOIRA’ ya Ben Pol zilizoweka historia kwa kila mmoja
kwa kufanya vizuri kipindi zilipotoka.
Kuhusu mash-up hii Ben amesema, “Katika
msimu huu wa Valentines, mimi na Msechu tumeona tuwaunganishe mashabiki wetu
wawe kitu kimoja kama ishara ya upendo, kwa kuwaletea Nyota ya Samboira ambayo
ni muunganiko wa kazi zetu mbili zilizofanya vizuri. Hivyo ni matumaini yetu
kwamba wataendelea kusambaza upendo kwa wawapendao kupitia zawadi hii.
SABABU
ZA KUREKODI MASH-UP HII:
Moja ya sababu zilizochangia wimbo huu (mash-up) urekodiwe,
kwanza ni kutokana na Ben Pol na Peter
Msechu kuwa marafiki na kila mmoja kuwa shabiki wa mwenzie. Ndio maana katika ‘NYOTA YA SAMBOIRA’, Ben ameimba verse
ya Msechu na Msechu ameimba verse ya Ben za kwenye nyimbo zao halisi.
JINSI MASH-UP HII ILIVYOPATIKANA:
Mradi wa mash-up hii ulianza kama utani.
Ben na Peter walikutana kwenye studio ya Downvillah Records ambapo kila mmoja alienda
kwa ratiba yake binafsi ya kurekodi nyimbo tofauti, lakini kama ujuavyo wasanii
wanapokutana studio huwa panakuwa na uwezekano mkubwa wa kufanya kitu. Hivyo wakaamua kufanya kazi
lakini kwa kurudia nyimbo zao kwa mtindo wa mash-up ambayo imesimamiwa na
producer Teaz Villah.
KUHUSU
NYIMBO HALISI ZA ‘NYOTA’ NA ‘SAMBOIRA’
‘Samboira’ ni moja ya hits za Ben Pol iliyotoka
mwaka 2011 na inayopatikana kwenye album yake ya kwanza ‘MABOMA’.
‘NYOTA’
ni wimbo wa Peter Msechu uliofanya vizuri sana mwaka jana (2015) ambao uliachiwa mwaka
2014 mwishoni.
New
& Hot Pre-valentine's gift "NYOTA YA SAMBOIRA" from Tanzania's Best
Vocalists of all time "BEN POL& PETER MSECHU, Audio
Produced by @teazvillah , mixed and mastered by @official_frester
Produced by @teazvillah , mixed and mastered by @official_frester
Download here 👇👇👇:
Further
Information:
For Bookings/Interviews:
Ben Pol
Email: fansofbenpol@gmail.com
Cell: +255 716 300716
__________________
Sandu George (KidBoy)
Ben Pol’s Advisor & Publicity
Post a Comment