Wednesday, 10 February 2016
Edward Lowassa Amjulia Hali Mafti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Aliyelazwa Muhimbili
Posted by Unknown on 11:53:00 in | Comments : 0
Aliekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema ,Edward Lowassa leo amemtembelea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry aliyelazwa Hospitali ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo juzi
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment