BREAKING NEWS

Monday, 25 January 2016

Furaha nyingine ndani ya familia ya mwanasoka Wayne Rooney na mkewe Coleen..

Staa wa Manchester United Wayne Rooney na mke wake Coleen Rooney wameongeza furaha ndani ya familia yao baada ya kupata mtoto wao wa tatu.

mtoto

Rooney akiwa na mtoto wake Kit Joseph
Wawili hao ambao tayari walikuwa na watoto wawili wa kiume Kai na Klay, wamethibitisha kumpata mtoto wao huyo aliyezaliwa jana January 24 2016.
Mtoto huyo wa kiume amepewa jina la Kit Joseph Rooney.

Share this:

 
Back To Top
Distributed By Rodrick Minja | Designed By Bill De Pierree